Katika Sayuni na katika familia zetu, kuelewa kwa nini mtu anatenda kwa njia fulani kunaweza kusababisha huruma, lakini bila kujua sababu, tunaweza kuwaelewa vibaya, kukasirika, na hatimaye kuwa maadui.
Ndiyo maana Mungu Alisisitiza umuhimu wa kuelewana na kuzingatiana naye Akakazia “mpendane” kama fundisho muhimu la agano jipya.
Waumini wa Kanisa la Mungu wanatafakari juu ya mateso, maumivu, aibu, na matukano ambayo Baba na Mama Wamevumilia kwa ajili yao, wakivua utu wao wa kale ambao uliishi kwa ajili yao wenyewe tu, na kujitahidi kuwa na utu mpya kuzingatiana, kujitoa kwa kila mmoja, na kuweka upendo katika utendaji kwa bidii.
Hivyo nasi twajua na kulitumainia pendo la Mungu alilo nalo kwa ajili yetu. Mungu ni Upendo. Kila akaaye katika upendo hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake. . . . Naye ametupa amri hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake. 1 Yohana 4:16–21
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha