Kupitia hadithi ya jinsi Mungu Alivyowatumia mashujaa 300 wa Gideoni kuwashinda adui 135,000 na hadithi ya jinsi Yoshua alivyoushinda Yeriko kwa kuuzunguka na kupiga kelele, tunaweza kuona kwamba popote palipo na utii kwa neno la Mungu, kuna miujiza pia.
Baada ya enzi ya Baba na ya Mwana, katika enzi hii ya Roho Mtakatifu, wale wanaofuata maneno ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, “Hubiri injili kwa mataifa yote. Kuweni wamoja katika upendo,” kwa moyo wa utiifu, mtashuhudia miujiza.
Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa. Kwa maana Mungu atamlipa kila mtu sawasawa na matendo yake. Warumi 2:5–6
Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Yeyote aaminiye na kubatizwa ataokoka. Lakini yeyote asiyeamini atahukumiwa.” Marko 16:15–16
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha