Injili ya Kanisa la Mungu, iliyoanzia katika sehemu ndogo kama chumba cha juu cha Marko, imekua chini ya baraka na mwongozo wa Mungu Ahnsahnghong na Mungu Mama na sasa imekuwa kanisa la kimataifa ambalo limeeneza injili duniani kote.
Tukijiachia katika mawazo na maisha ambayo yako kinyume na mapenzi ya Mungu, hatuwezi kamwe kufanikiwa. Waisraeli walitenda dhambi kwa kutilia shaka uweza wa Mungu hata baada ya kushuhudia miujiza Yake mingi, lakini tukimthamini Mungu Anayetusaidia sikuzote, tutapokea baraka tele.
“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia. Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, na maneno yake uyaweke moyoni mwako. Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako, kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni, ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, naye atakuwa fedha yako iliyo bora.” Ayubu 22:21–25
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha