Yeye, Anayetoa maji ya uzima katika enzi zote—enzi ya Baba, ya Mwana na ya Roho Mtakatifu, ni Mungu tu.
Walakini, baadhi husema kwamba watakatifu wanaweza kutoa maji ya uzima.
Ni upuuzi kwamba watakatifu, wanaowasilisha tu maji ya Mungu ya uzima, wanasema kwamba wao ndio watakaotoa maji ya uzima.
Ni kama tarishi anayewasilisha barua anasema, “Mimi ndiye mtumaji.”
Haiingii akilini kutenda kana kwamba tunatoa kitu wakati kwa kweli mtu mwingine anatupatia.
Tukisema kwamba sisi ndio wanaotoa kitu kinachotoka kwa Mungu, itatuletea laana juu yetu wenyewe.
Kama watu wa Mungu, lazima tujue ni katika umbo gani Mungu Anakuja kutupa maji ya uzima katika enzi hii, kwa nini Biblia inamfafanua Mungu kama Roho Mtakatifu na Bibi arusi, na jinsi Wanavyotoa maji ya uzima.
Kanisa la Mungu linaamini katika Roho Mtakatifu Ahnsahnghong na Mungu Mama ambaye ndiye Bibi arusi.
Tunatumaini kwamba mtapokea uzima wa milele kupitia maji ya uzima ambayo Mungu Baba na Mungu Mama Wanatupa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha