Katika Bustani ya Edeni, kulikuwa na mti wa uzima, ambao uliwapa uzima wa milele wale wanaokula.
Walakini, kwa sababu ya dhambi ya Adamu na Eva, Mungu Aliizuia njia ya kuuendea mti wa uzima.
Kwa kuwa ni Mungu pekee Anayeweza kufungua njia ya kuelekea mti wa uzima tena, miaka 2,000 iliyopita, Yesu Alikuja duniani kuwapa wenye dhambi uzima wa milele.
Alileta Pasaka ya agano jipya, ambayo kupitia hiyo tunaweza kula na kunywa mwili na damu ya Yesu—uhalisi wa mti wa uzima.
Walakini, mnamo mwaka 325 BK, Pasaka iliondolewa na Kaizari wa Roma Constantine.
Kuifungua tena njia ya uzima wa milele, Mungu Alikuja hapa duniani mara ya pili katika mwili.
Yeye ndiye Kristo Ahnsahnghong.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha