Mungu Baba na Mungu Mama, ambao ni Roho na Bibi arusi, Walianza kuumba vitu pamoja na pia Watamaliza uumbaji pamoja. Wale ambao hawaelewi mpango wa wokovu wanasema kwamba Maria au watakatifu ni Bibi arusi.
Walakini, Bikira Maria au watakatifu hawawezi kuwa Bibi arusi katika Ufunuo 22 kwa sababu Yeye ni Mke wa Yesu na Anayetupa maji ya uzima.
Roho na Bibi arusi Wanaotupatia maji ya uzima katika enzi ya Roho Mtakatifu ni Mungu Baba na Mungu Mama.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha