Ufalme wa mbinguni si mahali ambapo mtu anaweza kuingia kwa kura kama mfumo wa uchaguzi wa duniani, bali ni mahali Mungu huwapa wale wanaoshika agano jipya Pasaka kwa neema.
Hivyo, wale wanaoshika Pasaka ya agano jipya kweli ni watu waliobarikiwa.
Mungu Alikuja katika mwili katika dunia hii kama Yesu katika Enzi ya Mwana na kama Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni katika Enzi ya Roho Mtakatifu ili Watoto wao wanajue na waelewe kwa mioyo yao njia sahihi ya ufalme wa mbinguni.
Ndipo siku ya Mikate Isiyotiwa Chachu ikaja ambayo ilibidi atoe dhabihu ya Pasaka. Yesu Aliwatuma Petro na Yohana, akisema, . . . “Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.”
Luka 22:7–20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha