Watu wanaopata funzo kutoka kwenye safari ndefu ya miaka 40 ya Waisraeli jangwani na kumtii Mungu kwa imani katika ahadi Yake watabarikiwa katika kila kitu wanachofanya, bila kufutwa kwenye kitabu cha Mungu.
Mungu Yehova Aliyewaokoa Waisraeli kutoka Misri, na Yesu Aliyezisamehe dhambi za wanadamu kwa njia ya damu Yake ya thamani iliyomwagwa msalabani, na Kristo Ahnsahnghong Aliyerudisha ukweli katika enzi hii wote ni Mungu yule yule mmoja.
“Kama ukimtii BWANA Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, BWANA Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.”
Kumbukumbu 28:1
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha