Makanisa yaliyopo hutumia mstari “Nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya angani, katika uwezo na utukufu mkuu,” (Mt 24:30) kusisitiza kwamba Kristo Ajaye Mara ya Pili hatakuja katika mwili kwa sababu Biblia inasema kwamba Atakuja kwa utukufu mkuu. Hata hivyo, Yesu Alitimiza unabii katika Isaya “Utukufu wa BWANA utafunuliwa,” (Isa 40:5) kwa kuja katika mwili ambao haukuwa na utukufu machoni pa wanadamu. Kwa hiyo, tunaweza kuelewa kwamba msisitizo wao ni wa uongo.
Ni wale tu wanaompokea Kristo na kuokolewa wanaweza kuutambua utukufu wa Kristo Ajaye Mara ya Pili Anayekuja katika hali ya kawaida kama sisi.
Neno alifanyika mwili, akakaa miongoni mwetu, nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli. Yohana 1:14
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha