Mungu Alianzisha sheria na amri Zake kwa ajili ya baraka ya wanadamu.
Walakini, ibilisi alipanda magugu ili kuwazuia wanadamu wasipokee baraka na kuingia katika ufalme wa mbinguni, ambazo miongoni mwa hizo iliyo mashuhuri zaidi ni ibada ya Jumapili—amri ya wanadamu na uasi.
Ibada ya Jumapili, kama inavyotumiwa na makanisa mengi leo, sio amri ya Mungu.
Mungu Alituamuru “Ikumbuke siku ya Sabato uitakase” kama amri ya nne ya Amri Kumi, na Yesu Aliishika siku ya Sabato kama desturi Yake ili kuwawekea wanadamu kielelezo.
Kwa hiyo, waumini wa Kanisa la Mungu duniani kote wanashika ibada takatifu siku ya Jumamosi, siku ya Sabato.
“Ikumbuke siku ya Sabato, uitakase.” Kutoka 20:8
“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” Mathayo 7:21
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha