Mungu, ambaye huona mwisho tangu mwanzo, Alituonya vikali tusiongeze wala kupunguza chochote kutoka kwa maneno ya Biblia. Biblia inatufundisha kuzishika amri za Mungu kama vile Siku ya Sabato na Pasaka, lakini pia inatufundisha sisi, Wakristo, kuishi maisha yetu kama chumvi na nuru ya ulimwengu.
Kama vile Mungu Alivyowaongoza Waisraeli kuingia nchi ya Kanaani na kuwabariki, katika enzi hii pia, tunapomtukuza Mungu katika familia yetu, kazini kwetu, na kwa jirani zetu, kulingana na mafundisho ya Mungu Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni, tutakubaliwa kuishi maisha yetu kama Wakristo na kupokea baraka ya kuingia katika ufalme wa mbinguni.
“nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.” Mathayo 5:16
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha