Kama vile waumini wa Kanisa la Mungu, waliokumbatia ukandamizaji na mateso ya Kaizari Nero kwa imani thabiti katika Mungu na tumaini la mbinguni, sisi pia tunapaswa kujiwekea akiba ya baraka mbinguni ili tuishi milele.
Ufalme wa Milele wa mbinguni, Ulioandaliwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Ni maisha yenye hekima kuishi kwa ajili ya mbingu ya milele ambapo hakuna mauti, maumivu, wala huzuni tena, kama vile Mtume Paulo aliyesonga mbele kuelekea mbinguni baada ya kuona mbingu ya tatu. , si kama Yuda Iskariote aliyechagua kuishi kwa wakati huo, akizithamini tamaa za ulimwengu.
Kwa maana dhiki yetu nyepesi iliyo
ya kitambo inatutayarisha kwa ajili ya utukufu
wa milele unaozidi kuwa mwingi kupita kiasi,
kwa sababu hatuangalii yale yanayoweza
kuonekana bali yale yasiyoweza kuonekana.
Kwa maana yale yanayoweza kuonekana
ni ya kitambo tu, bali yale
yasiyoweza kuonekana ni ya milele.
2 Wakorintho 4:17–18
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha